
Kwa mujibu wa taarifa hizo ni kwamba YP aliyekuwa mmoja wa wasanii waliojiengua TMK Wanaume na kuunda kundi moja na wenzake Y-Dash na Jebby alifariki nyumbani kwao Keko, jijini Dar es salaam bila kuelezwa kama alikuwa akiumwa au la!
Hisia za Mwananchi Itaendelea kukupa taarifa juu ya kinachoendelea
Kadhalika inatoa pole kwa ndugu, jamaa, na familia ya marehemu YP aliyekuwa akitamba na wimbo wa Binadamu Visa alioimba na swahiba wake, Y-Dash.
إرسال تعليق