Chama Cha Mapinduzi kata ya
Tungi jimbo la Kigamboni Wilaya ya Temeke wamekutana leo katika kikao
maalumu kupanga mikakati ya uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa. Mgeni
rasmi katika mkutano huo alikuwa ni MJUMBE wa NEC Ndg. Phares Magesa
ambae aliwataka wanachama za CCM kuimarisha Umoja, kuvunja makundi na
kuhakikisha CCM inashinda mitaa yote
Ndg. Magesa akisalimiana na wajumbe wa mkutano huo
Ndg. Magesa akihutubia mkutano huo
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho
Post a Comment