CNN
wakishirikiana na multichoice wafungua semina kwa waandishi wa habari
juu ya nini kifanyike ili waandishi wa habari kutoka Tanzani waweze
kufanya vizuri katika tuzo za mwandishi bora wa Africa tuzo ambazo mwaka
huu zitafanyika Tanzania.
Semina hiyo imefanyika leo katika hoteli ya New Africa Hoteli jijini dar es salaam. Picha na Awadh Ibrahim
Post a Comment