Kwa mara
ya kwanza tabia ya ukeketaji wa wanawake imegunduliwa England,ukeketaji
ulipigwa marufuku nchi humo mwaka 1985,ingawa umekua ukiendelea na
hakuna aliyetiwa mkononi mpaka sasa.
Kwa
muujibu wa takwimu zilizokusanywa na kitengo cha afya cha taifa hilo
zimeonesha kuwa zaidi ya wanawake mia nne na hamsini kwa mwezi mmoja tu
uliopita wamegundulika kuwa waathirika wa tabia hiyo mpya na
wameshatibiwa .
Mpaka
sasa wagonjwa elfu kumi na tatu wanaendelea kupata matibabu,wanaharakati
wa kupinga ukeketaji England wanasema kwamba idadi kamili ni kama
itamkwa kwa ufinyu,na kukaribisha taarifa zaidi ili kujua ukubwa wa
tatizo.BBC
Post a Comment