Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa
Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya
kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor
Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na
mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam.
|
Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha ya
FNB Bw.Luke Woodford akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani
B wakati FNB ilipokabidhi madarasa yaliyokarabatiwa, madawati na
mikoba ya shule hivi karibunini jijini Dar as Salaam
Post a Comment