Hawa bi Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool wakiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Hisia0
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool
wakiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere kushiriki
mashindano ya Safari All Africa Pool Championship yanayotarajiwa kuanza
kesho katika Ukumbi wa Budget Kunduchi jijini Dar es Salaam.
إرسال تعليق