Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la
Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya
kijamii, kuanzia jana (tarehe 21 Oktoba) meneja wa msanii huyo Babu Tale
amekua akihojiwa na polisi mpaka alipoachiwa kwa dhamana mapema leo saa
5.
Vile vile msanii Diamond aliripoti polisi mapema leo kwa ajili ya
kuhojiwa, ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana pia
jioni hii.
Hizi ni picha zikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.
.
Post a Comment