Mrajisi
wa Bodi ya Chakula,Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othaman Simai
akizindua Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya
Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha
pamoja cha Usajili wa Dawa katika nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.
Mratibu
wa Mafunzo ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na
Vipodozi Patrick Mwesigye kutoka nchini Rwanda akitoa nasaha zake kwa
Watendaji hao katika Uzinduzi wa Mafunzo hayo huko Ukumbi wa Hoteli ya
Ocean View.
Mkuu
wa Kitengo cha Dawa na Vipodozi Zanzibar Bora Lichanda akifafanua Jinsi
Kitengo chao kinavyofanya kazi kwenye Mafunzo ya siku tano ya
kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo
yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha pamoja cha Usajili wa Dawa katika
nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.
Mkuu wa Bodi ya Madawa na sumu Nchini Kenya Dkt. Ronald M. Inyangala akichangia kitu katika mafunzo hayo.
Mratibu
wa Mafunzo ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na
Vipodozi kutoka Zanzibar Hidaya Juma Hamad akizungumza na Wanahabari nje
ya Ukumbi wa Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View ambapo mafunzo hayo ya siku
tano yanafanyika.
Mgeni rasmi Mrajisi wa
Bodi ya Chakula,Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othaman Simai
(kati kati) waliokaa akiwa katika Picha ya pamoja ya Washiriki wa
Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula,
Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha pamoja cha
Usajili wa Dawa katika nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.
`
(Picha na Makame Mshenga- Maelezo-Zanzibar).
إرسال تعليق