KOMANDO wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus Gowele amefikishwa mahakama ya wilaya Temeke leo akishtakiwa kwa mauaji. Mshitakiwa amekana shitaka. Kesi yake imeahirishwa mpaka Novemba 4, 2014.
(PICHA NA RICHARD BUKOS, ISSA MNALLY/GPL)
Post a Comment