Mshambuliaji wa timu ya Polisi Khamis Abdurahaman akizuiya mpira huku
beki wa timu ya Zimamoto Shafi Hassan akijiandaa kumzuiya wakati wa
mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa amaan timu
hizo zimetoka sare ya 1--1.
Mshambuliaji wa timu ya Polisi Khamis Abdurahaman, akimiliki mpira huku
beki wa timu ya Polisi akimzuiya wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya
grand malt uliofanyika uwanja wa amaan.
Beki wa timu ya Polisi Mohammed Hassan sakiondoa mpira golini kwake huku
mchezaji wa timu ya Zimamoto akijiandaa kumzuiya asilete madhara golini
kwake.
Kocha Mkuu wa timu ya Polisi Hafidh Badru akiwa na simazi baada timu
yake kufanya vibaya katika mchezo huo wa ligi kuu na timu ya zimamoto
uliofanyika uwanja wa amaan.
إرسال تعليق