Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda
wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini. (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda
wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura,
aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya
mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana. (Picha na
OMR).
إرسال تعليق