Naibu
Katibu Mkuu wa Chademba Zanzibar, Salumu Mwalimu akipokewa na viongozi
wa chama hicho baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akifuatana
na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk.Wilbrod Slaa (kulia) na viongozi
wengine wa chama hicho jana.
Mamia
ya wananchi na wafuasi wa Chadema kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu
wa Chadema, Salumu Mwalimu baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo
Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Dk.Slaa
akiteta jambo na manaibu wake, John Mnyika (kushoto) na Salumu Mwalimu
(kulia) kwenye mkutano na wanachama na viongozi wa chama hicho jana.
Wanachama
na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza Dk.Slaa alipozungumza nao kwenye
ofisi za chama hicho huko Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Salumu Mwalimu akikabidhiwa vifaa vya ofisi kutoka kwa mtangulizi wake Hamad Yusuf (kushoto)
Katikati ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbrod Slaa.
Salumu Mwalimu kiongea kwenye mkutano wa ndani baada ya kuwasili kwenye ofisi za chama hicho Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Post a Comment