Mtawa Cristina lishinda shindnao la Voise makala yaliyofanyw Italia mwaka jana
Mwimbaji
mtawa aliyeshinda tuzo la The voice la Italia atoa wimbo mpya unaofanana
na ule wa mwimbaji mtajika wa Marekani Madonna kwa jina 'Like a
Virgin'.
Mtawa
Cristina Scuccia, ambaye alishinda katika mashindano ya uimbaji hapo
juni amesema alijichagulia wimbo huo mwenyewe " bila nia ya kuzua gumzo
ama kushangaza", lakini amesema pia yuko tayari kukosolewa.
"Ni wimbo
unaohusu uwezo wa upendo wa kuwabadilisha watu kuwa wapya. Kuwakomboa
kutoka kwa yaliyopita. Na hivyo ndivyo nilivyotaka kuutafsiri,"
aliliambia gazeti moja la kikatoliki la Avvenire.BBC
Post a Comment