Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Nape Nnauye
akizungumza na waandishi wa habari, Dodoma,kuhusu yaliyojiri katika
kikao cha kamati Kuu (CC) na kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya
Taifa,NEC
CHAMA cha Mapinduzi kimesema hakina muda wa kujadili watu waliokataa ama kukubali mchakato wa Katiba mpya katika Bunge Maalum la Katiba.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama hicho Naoe Nnauye wakati akizungumza na waandishi kuhusiana na vikao vya Halmashauri Kuu ya CCM vinavyoendelea mjini hapa.
Alisema chama hakina sababu ya kufanya hivyo keani lengo lilikuwa ji kuoatikaana kwa katiba na tayari imepatikana.
Alisema eanaofai kwamba vikao hivyo vitajadili watu waliokuwa wakitaka mchakato usitishwe wana uwezo mdogo wa kufikiri.
"Sisi hatuwezi kujadili watu,keani hakuna msingi wala tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla,sisi tunajadili hoja.
"Hakuna muda wa kujadili watu ,sisi tunajadili hoja,chama hakina muda wa kujadili watu,bali kinatakiwa kujafili ni tulipotoka,tulipo na tunapikwenda,kujadili watu hakusaidii nchi ,chama wala mchakato wenyewe wa katiba." alisema Nape
Alisema ,wanaogukiri vika hivyo vya juu vy achama hicho vitajadili watu, wanatumia akili ndogo kufikiri,ili mradi mchakato ulifanyika vizuri na katiba imepatikana kwa nini tujadili watu,hoja za msingi ni kujadili mambo ya kulijenga taifa letu
"Kujadili watu hata sisi akili yetu itakuwa siyo nzuri sana, sula la nani alikataa na nani alikubali hiyo haina msingi kwa sasa." alisema Nape
Pia alisema kikao cha Kamati kuu kilichofanyika juzi kimefanya uteuzi Wa makatibu wa wilaya 27 wa CCM.
Kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa,alisema pia chama hicho kumejipanga kuhakikisha kinashinda kwa kishindo.

Post a Comment