Mashabiki
na wapenzi wa timu ya Simba ambao ninwafanyakazi wa TBL Mbeya
wakishangilia ushindi baada ya kuwashinda mashabiki na wapenzi wa timu
ya Yanga kwa upigaji wa danadana.
Wafanyakazi
wa TBL Mbeya wa ambao ni mashabiki wa Yanga na Simba wakishindana
kupiga danadana katika viwanja vya Kiwanda cha TBL Jijini Mbeya.
Wapenzi
na mashabiki wa timu mbili watani wa Jadi Yanga na Simba wakishiriki
katika mchezo wa mpira wa meza wakati wa Uzinduzi wa Nani Mtani Jembe
awamu ya pili kwenye viwanja vya Kiwanda cha TBL Jijini Mbeya.
Meneja
wa Bia ya kilimanjaro George Kavishe akielezea mpango wa awamu ya pili
wa Bia ya kilimanjaro katika utambulisho wa Nani Mtani Jembe ambayo
yanazihusisha timu mbili watani wa Jadi Yanga na Simba.
Mjumbe
wa Kamati ya Utendaji wa timu ya Yanga Mohamed Bhinda akimkabidhi kadi
za uanachama Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Yohana Samwel kwenye mashindano
ya Nani Mtani Jembe kwenye viwanja vya Kiwanda cha TBL jijini Mbeya.
Post a Comment