NEC KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

 Makamu Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia  na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid   Mahamoud Hamid(kushoto) akisoma taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba.
Baadhi  ya Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na waandishi  wa habari kuhusu  taarifa kuhusu kuanza kwa shughuli za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC.Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julias Malaba.
aadhi ya Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) wakifuatilia mkutano huo.

Post a Comment

أحدث أقدم