Nicki Minaj ameachia rasmi single mpya iitwayo ‘Only’ kama
alivyoahidi, ambayo kawashirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne. Hii
ni single ya tatu kutoka kwenye album yake mpya itakayotoka Dec.16, ‘The
Pink Print’.
Katika ‘Only’ Minaj amesema hakuwahi kuhusiana kimapenzi na wasanii aliowashirikisha yaani Lil Wayne na Drake katika maisha yake. Mwanzoni kabisa mwa wimbo ame rap:
“I never f*cked Wayne/I never f*cked Drake/ All my life, man, fuck’s sake/ If I did I’d menage with ‘em and let ‘em eat my ass like cupcake.”
Drake na yeye kwenye verse yake amejibu kuwa hakuwahi kutembea na Nicki kwasababu alikuwa na mwanaume wake, “I never f*cked Nicki ’cause she got a man/ But when that’s over I’m first in line…”
Lil Wayne ambaye amefunga verse ya mwisho hakuwa tofauti na Nicki na Drake pia, na yeye amekanusha kuwahi kuhusiana kimapenzi na Nicki kwa kurap,
“I never fucked Nicki/ And that’s fucked up/ If I did fuck she’d be fucked up/ Whoever is hitting ain’t hitting it right/ ‘Cause she acts like she needs d*ck in her life.”
Ushiriki wa Chris Brown katika wimbo huu ni kwenye kiitikio peke yake.

Post a Comment