Kiwanda cha magodoro cha Vitanda Manufacturing cha Mwanza kilichopo eneo
la Mkuyuni kando ya barabara kuu ya Mwanza Shinyanga kimeungua na
kuteketea kwa moto.
Moto huo ambao unadai kuzuka majira ya saa 1: 46 usiku unadaia kuanzia katika ghala na kisha kushika matika ya yaliyokuwa na Tindikali umeteketeza sehemu ya ghala hilo na jitihada za kuuzima zinaendelea usiku huu.
Mpakamajira ya saa 8:55 hali ilikuwa mbaya kutokana na kuwasili kwa gari moja la zomamoto ambalo lilionekana kuzidiwa nguvu na moto huo kutokana na kuwa na uwezo mdogo.
Timu yetu ya Mabadiliko News ilikuwapo na haya ni matukio ya picha ya moto huo.

Moto huu ulisababisha magari yatumiayo barabara ya Mwanza Shinyanga ama wakazi wa Nyegezi, Mkolani na Buhongwa kukwama kupita kutokana na magari kushindwa kuvuka eneo hilo kwa hofu ya kuwaka moto.
Moto ulikuwa ndiyo umeanza lakini, kilichoonekana ni kuwa eneo hiili wamiliki walikuwa wamewasha mishumaa mingi ambayo huenda ikawa chanzo cha moto huo pia.
Jitihada za wafanyakazi wa kiwanda hicho kuzima moto zinadaiwa zilianza mapema lakini moto huo ulizidi kuwaka kila hatua ya wakati ilivyozidi kusogea.PICHA NA:- http://mabadiliko.co.tz
Post a Comment