PICHA ZA CHADEMA WAKIKIJENGA CHAMA CHAO WILAYANI MBARALI MKOANI MBEYA


 Mjumbe wa hamasa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya yanda za juu kusini, Rose Mayemba akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Isitu kata ya Chimala wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.
 Mjumbe wa kamati ya hamasa kanda, chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jacob Kalua wa pili kushoto, akiwa na viongozi wa chama hicho Wilaya ya Mbarali wakati wa Mkutano wa kukijenga chama uliofanyika katika kijiji cha cha Isitu kata ya Chimala Wilayani Mbarali (Picha zote na Kenneth Ngelesi).
 Wafuasi wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kijiji cha Isitu Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya, wakiwa wa wamenyanyua mikono huku wamekunja ngumi ishara ya salamu ya chama hicho kabla Mjumbe wa baraza kuu taifa wa chama hicho Joseph Kasambala hayupo pichani

Post a Comment

Previous Post Next Post