Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifutana na Meneja wa Kituo cha Damu Salama Dk.Mwanaheri Mahmoud Ahmed
(kulia) katika chumba maalum alipotembelea katika Ofisi za Kituo hicho
Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiangalia Damu Salama zilizohifadhiwa katika mashine maalum akiwa na
Aaza Humud katika chumba maalum alipotembelea katika Ofisi za Kituo
hicho Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifutana na Meneja wa Kituo cha Damu Salama Dk.Mwanaheri Mahmoud Ahmed
(kulia) katika chumba maalum alipotembelea katika Ofisi za Kituo hicho
Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo.

Mkuu
wa maabara ya kuchunguza maradhi mbali mbali Msafiri L.Marijani akitoa
maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Maabara katika
Hospitali ya Mnazi mmoja leo Mjini

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Kituo cha Damu Salama kiliopo
Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo alipofanya ziara fupi

Afisa
Mhamasishaji wa Kituo cha Damu Salama Omar Said Omar (kulia) akitoa
mchango wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza na
wafanyakazi wa kituo hicho alipofanya ziara maalum ya kutembelea
kuangalia maendeleo ya utendaji kazi Sebleni Nyumba za Wazee Mjini
Zanzibar leo(Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
Post a Comment