
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano
la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya utumishi wa Umma lililofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam .


Sehemu ya washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Utumishi wa Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Umma lililofanyika jijini
Dar es Salaam leo.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto) pamoja na makatibu wakuu
Kiongozi wastaafu Matern Lumbanga(kulia) na Philemon Luhanjo
(kushoto).(picha na Freddy Maro).
Post a Comment