Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao
nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya
Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin.
Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku
wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini
wanachokiona uwanjani hapo.
Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao.
Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa hawajapata la kufutia machozi.
Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa hawajapata la kufutia machozi.
Dogo muokota mipira akiisikilizia baridi iliyoambatana na kimvua cha kiaina.
Uzalendo ndio mpango mzima,pamoja na kwamba mvua ilikuwa ikinyesha lakini hakuna alietaka kuondoka uwanjani hapo hasa kutokana na burudani safi iliyoonyeshwa na Taifa Stars leo.Picha na Othman Michuzi.,MMG.

Post a Comment