KATIBU
MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA (PROF. PATRICK
MAKUNGU) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA
MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.
MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI (DR. HASSAN MSHINDA) AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARHA HIYO.
WASHIRIKI KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA.
WASHIRIKI KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA.
PICHA YA PAMOJA NJE YA UKUMBI WA MKUTANO
JOPO
LA WANANDAAJI KUTOKEA WA WARSHA YA USALAMA MITANDAO KUTOKEA COMSAT
TUKIBADILISHANA MAWAZO NA WATAALAM WA NDANI KUPANGA MIKAKATI ENDELEVU
NA RAFIKI KUONGEZA UWEZO KWA WATAALAM WA NDANI.
KATIBU
MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA AKITAMBULISHWA NA
BWANA YUSUPH KILEO BAADHI YA WASHIRIKI WA WARSHA HIYO - MMOJA KUTOKA
KENYE (DR. WAUDO SIGANGA - MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATAALAM WA TEHAMA
NCHINI KENYA PAMOJA NA BWANA. TAJAMMUL HUSSAIN - MSHAURI WA COMSAT)
Post a Comment