WANAJESHI WA TANZANIA WAFANYAMAZOEZI YA PAMOJA NA WENZAO KUTOKA CHINA

Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoezi




Mkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.

Post a Comment

Previous Post Next Post