Tigo yazidi kuwapagawisha wananchi wa Dodoma kwenye Tamasha la Welcome Pack


MWANAMUZIKI EMENUEL BRYSON SIMWINGA (IZZO BUSINES)
Msanii Emmanuel Simwinga maarufu Izzo Business akipiga bonge la shoo kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Kifurushi cha welcome pack kinatoa muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, sms bila kikomo na shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
ORIGINAL COMEDI KATIKA SHOW  1
Wasanii wa Original Komedi wakiwapa burudani wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki. Ziara ya Tigo welcome pack itaendelea mkoani Arusha Jumapili ya wiki hii.
ORIGINAL COMEDI KATIKA SHOW  2
ORIGINAL COMEDI KATIKA SHOW-Dom
MENEJA MAUZO KANDA YA KASKAZINI SAITOTI AKITOA SERA ZA   MAUZO KWA WANANCHI UWANJA WA JAMHURI DODOMA
Mratibu wa Masoko wa Tigo kanda ya Kaskazini na Kati Bw.Saitoti Naikara akiongea na umati uliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.
HUDUMA NDANI YA BASI MAALUMU LA TIGO DIGITAL  1
Wateja wakipata maelezo toka kwa watoa huduma wa kampuni ya Tigo ndani ya basi la Kidigitali lililokuwepo uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki, wakati wa ziara ya Tigo ya kampeni ya welcome pack mkoani humo.

Post a Comment

Previous Post Next Post