Msanii wa muziki kutoka kundi la TMK Wanaume Family YP amezikwa Jumatano hii katika makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Jeneza likiwa linaingizwa makaburini tayari kwa mazishi
Katika mazishi hayo wadau mbalimbali wa muziki, filamu pamoja na wanafamilia wa msanii huyo waliungana kwa pamoja kumsindikiza katika makao yake ya kudumu. Tazama video na picha.
Kaburi la YP Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu Ommy Dimpoz akiondoka baada ya mazishi Professor Jay Professor Jay, Babu Tale pamoja na mdau
Temba

Post a Comment