utoka
kushoto waliosimama ni Producer Dwayne Collins, Engineer Zaynab, Sunday
Shomari na Harrison Kamau na waliokaa kutoka kushoto ni Idd Ligongo,
Esther Githui Ewart, Mary Mgawe na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo
Hamza.
Timu ya VOA EXPRESS iliyofungua matangazo ya kwanza ya Alasiri saa za
Afrika Mashariki saa 10.30 Jumatatu hadi Ijumaa Oktoba 27,2014. Kutoka
kushoto Mary Mgawe, Idd Ligongo ,Sunday Shomari, Esther Githui Ewart,
Khadija Riyami, Dwayne Collins, Mkuu wa idhaa Mwamoyo Hamza na Harrison
Kamau.
إرسال تعليق