KATIBU wa kikundi cha Bobo Sio Dili cha
Bogoa Mkanyageni Wilaya Mkoani, kinachojishughulisha na uoteshaji wa
miche ya mikarafuu, Adam Kombo, akiwafahamisha wajumbe wa Serikali za
Mitaa na Tawala za Mikoa kutoka Mkoani Tanga, jinsi miche ya mikarafuu
inavyoatikwa, ujumbe huo Ukiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilindi
Mhe:Suleiman Salim Liwayo
Mwenye shada la Karafuu, wakati wa ziara ya siku tatu kisiwani Pemba..(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
Mwenye shada la Karafuu, wakati wa ziara ya siku tatu kisiwani Pemba..(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Kilindi Mhe:Suleiman
Salim Liwayo, akipata maelekezo juu ya Miche ya Mikarafuu kutoka kwa
katibu wa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa Makanyage Adam Kombo,
wakati wa ziara ya Siku tatu kisiwani Pemba, kwa Ujumbe wa Serikali za
Mitaa na Tawala la Mikoa
kutoka Mkoani Tanga .(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
kutoka Mkoani Tanga .(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
Post a Comment