Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge
akioneshwa jinsi taka za plastiki zinavyochakatwa kutengeneza bidhaa
mbalimbali, kama vile Mifuko ya Plastiki, alipotembelea kiwanda cha
Falcon Parkaging Ltd cha jijini Mwanza. Anayetoa maelezo ni Mkurugenzi
wa Kiwanda Bwana Ganeshan Vedagiri.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge
akipewa maelezo na Mratibu wa NEMC kanda ya Ziwa Bi. Anna Masasi kuhusu
uharibifu wa Mazingira ya Mwambao wa Ziwa Viktoria katika eneo
la Nera, unaosababishwa na shughuli za Kilimo na ufugaji wa samaki
katika eneo hilo jijini Mwanza.
Sehemu
ya mwambao wa Ziwa Viktoria katika eneo la Nera jijini Mwanza
likionesha shughuli za kilimo zinazofanyika katika eneo hilo na
kusababisha uharibifu wa mazingira
Post a Comment