ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS – MAZINGIRA KANDA YA ZIWA


_DSC0491 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge akioneshwa jinsi taka za plastiki zinavyochakatwa kutengeneza bidhaa mbalimbali, kama vile Mifuko ya Plastiki, alipotembelea kiwanda cha Falcon Parkaging Ltd cha jijini Mwanza. Anayetoa maelezo ni Mkurugenzi wa Kiwanda Bwana Ganeshan Vedagiri. _DSC0444 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge akipewa maelezo na Mratibu wa NEMC kanda ya Ziwa Bi. Anna Masasi kuhusu uharibifu wa Mazingira ya Mwambao wa Ziwa Viktoria katika eneo la Nera, unaosababishwa na shughuli za Kilimo na ufugaji wa samaki katika eneo hilo jijini Mwanza.
_DSC0454 
Sehemu ya mwambao wa Ziwa Viktoria katika eneo la Nera jijini Mwanza likionesha shughuli za kilimo zinazofanyika katika eneo hilo na kusababisha uharibifu wa mazingira

Post a Comment

أحدث أقدم