Aliyekuwa
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg, Hamad Mussa Yussuf, kulia Akimkabidhi
Kadi za Waliokuwa Wanachama wa CHADEMA, na kujiunga na Chama Kipya cha
Siasa cha ACT, kilichopata Usajili wake hivi karibuni na kupata
Wanachama wengi kukiunga mkono chama hicho, Akimkabidhi Katibu Mkuu wa
ACT Ndg. Sansin Mugambe, Wameamua kikihama Chama hicho kwa kupoteza
muelekeo kwa kujiunga katika Umoja wa vYMA Vya Siasa .UKAWA na kupoteza
mwelekeo kisiasa hapa Zanzibar na kumamua kujiunga na Chama hicho
kipya.
Post a Comment