Na Hamida Hassan Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ yupo hoi kitandani baada ya kusumbuliwa na jino la juu ambalo anahofia kulitoa.
“Yaani nina siku tatu sili nakunywa tu, vile vitu vigumuvigumu kama kuku na nyama za kuchoma navisikia kwa wenzangu kwani vinanishinda, nikitaka kuangua kilio niviweke mdomoni,” alisema Aunt Lulu.
Lulu alimalizia kwa kuwaomba mashabiki wake wamuombee kwani jino ni ugonjwa mdogo sana lakini kwake umekuwa ni mtihani mkubwa kwani kila akitaka kwenda kuling’oa anapatwa na hali ya woga.
Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’.
Akizungumza na Amani, Aunt Lulu alisema kuwa anajiona amekonda kwa
maumivu ya jino tu na kutokana na vitisho anavyovipata kutoka kwa
marafiki zake anaogopa kwenda kuling’oa.“Yaani nina siku tatu sili nakunywa tu, vile vitu vigumuvigumu kama kuku na nyama za kuchoma navisikia kwa wenzangu kwani vinanishinda, nikitaka kuangua kilio niviweke mdomoni,” alisema Aunt Lulu.
Lulu alimalizia kwa kuwaomba mashabiki wake wamuombee kwani jino ni ugonjwa mdogo sana lakini kwake umekuwa ni mtihani mkubwa kwani kila akitaka kwenda kuling’oa anapatwa na hali ya woga.
إرسال تعليق