Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo
wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake
ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na
kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni.
Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE video finally out. Hope its gonna make u scream.” Itazame hapa.

Post a Comment