DIAMOND PLATINUMZ AKIWA NDANI YA BBA HOTSHOTS

Ikiwa ni sehemu ya kuchangamsha show ya Big Brother, wasanii tofauti huingia ndani ya nyumba na kujichanganya na washindani wa Big Brother.
diamond

Hii ni mara ya pili kwa msanii staa mkubwa mwenye mafanikio ya kasi mithili ya moto wa petroli, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' kutoka Tanzania kualikwa ndani ya jumba Big Brother Hotshots
na sasa alikuwa na mwanamuziki maarufu kutoka Congo ‘Fally Ipupa’ . Awamu hii wasanii hawa wawili wameingia kwenye jumba hilo na kuhamasisha kampeni ya  ONE Campaign ya vijana na Kilimo.

Post a Comment

Previous Post Next Post