DKT. SHEIN AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI MJINI ZANZIBAR LEO


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt. Juma Yakout Juma kuwa Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Khadija Bakari Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt. Juma Yakout Juma kuwa Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi Madina  Mjaka Mwinyi kuwa Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Bw.Hassan Khatib Hassan kuwa  Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba  katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Bw.Haji Makungu Mgongo  kuwa  Mkuu  wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja  katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Bw.Khamis Jabir Makame  kuwa  Mkuu  wa Wilaya ya Kusini Unguja  katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini B Unguja
 Mawaziri waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Wilaya mbali mbali za Unguja na Pemba pamoja na Manaibu Katibu Wakuu Wizara mbali mbali za Serikali wakifuatilia kwa makini walipokuwa wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
 Mwanasheria Mkuu wa Serkali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Hassan Said(kulia) akiwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria  katika Viapo mbali mbali vya Wakuu wa Wilaya za Zanzibar na Katibu Mkuu na Manaibu Katibu wakuu wa Serikali waliapishwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Mawaziri waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Wilaya mbali mbali za Unguja na Pemba pamoja na Manaibu Katibu Wakuu Wizara mbali mbali za Serikali wakifuatilia kwa makini walipokuwa wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar


 Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati)akiwa na Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa wakifuatilia kwa makini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwwapisha Manaibu Katibu Wakuu Wizara mbali mbali za Serikali na Wakuu wa Wilaya mbali mbali za Unguja na Pemba  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ikulu, Zanzibar

Post a Comment

Previous Post Next Post