Timu ya Grand Rapids Drive imesajili wachezaji sita kwaajili ya
ligi ya NBA-D League akiwemo Hasheem Thabeet. D-League ni ligi iliyo
chini ya NBA.
Hivi karibuni Thabeet ambaye alitemwa na Detroit Pistons alitosa ofa za kujiunga na timu za Ulaya.
Hii ni mara ya pili kwa Thabeet kucheza kwenye D-League.
Mkurugenzi mkuu wa Detroit Pistons, Andrew Loomis alisema kuna uwezekano mkubwa Thabeet akaitwa tena na timu ya NBA.
Swali ni je iwapo akipata nafasi nyingine ya kurejea NBA ataweza kuongeza kiwango cha uchezaji wake?
Post a Comment