Hasheem Thabeet atosa ofa za Ulaya, arudi kwenye D League

Timu ya Grand Rapids Drive imesajili wachezaji sita kwaajili ya ligi ya NBA-D League akiwemo  Hasheem Thabeet. D-League ni ligi iliyo chini ya NBA.
image
Hivi karibuni Thabeet  ambaye alitemwa na Detroit Pistons alitosa ofa za kujiunga na timu za Ulaya. image
Hii ni mara ya pili kwa Thabeet kucheza kwenye D-League.
Mkurugenzi mkuu wa Detroit Pistons, Andrew Loomis alisema kuna uwezekano mkubwa Thabeet akaitwa tena na timu ya NBA.
Swali ni je iwapo akipata nafasi nyingine ya kurejea NBA ataweza kuongeza kiwango cha uchezaji wake?

Post a Comment

أحدث أقدم