Kama
hukusikiliza Hekaheka ya leo ipo hapa, ni sehemu ya pili ya ile ya jana
ambayo inahusu msichana mmoja anayeitwa Aisha ambaye imesemekana
amekuwa akieneza maneno ya uongo kuhusiana na watu mbalimbali, amejikuta
katika wakati mgumu baada ya kusutwa na wanawake kutokana na vitendo
hivyo.
Leo ni sehemu ya mwisho ambapo watu
waliokuwa wakimsema msichana huyo kutokana na tabia yake walimbana
kwamba wampeleke mpaka kwao kitu ambacho msichana huyo amewakatalia
wakatumia nguvu kumpeleka, ambapo baada ya kumfikisha kwao cha ajabu
walimkuta mama yake akiwa ameshika fimbo na dada yake kashika panga
wakisema hawamtaki nyumbani kwao.
Isikilize hapa leo tena hiyo niliyokurekodia.
إرسال تعليق