1.
Sijapokea hela yoyote kutoka kwa IPTL/PAP kumpa Mh. Zitto Kabwe. 2. Ni
habari za kuzusha na kupotosha kusema Mh. Zitto alipokea hela. 3.
IPTL/PAP wajitokeze na waseme hizo fedha kama walinipa walinipa ili Mh.
Zitto afanye nini? Kwa nini walizitoa kama kweli walizitoa? 4. Kwa nini
basi hawakuomba nihojiwe kuhusu hizo fedha?
Hoja inabaki; fedha ni za nani? Je tumeibiwa au hatujaibiwa?
إرسال تعليق