HUKUMU YA SHEHE PONDA YAAHIRISHWA HADI NOV 27


Shehe Ponda akitolewa mahakamani chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Askari magereza wakiimarisha ulinzi eneo la Mahakama Kuu.
Basi la magereza na magari ya askari yakiwa eneo la mahakama.Wafuasi wa Shehe Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu.
Wakili Juma Nassoro(mwenye suti nyeusi) akizungumza na wafuasi wa Ponda.
Baadhi ya madereva  wa bodaboda wakiushangaa umati wa wafuasi wa Ponda (haupo pichani).
HUKUMU iliyokuwa itolewe leo na Makahama Kuu ya Tanzania dhidi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislam Tanzania,  Shehe Issa Ponda, imeahirishwa tena mpaka tarehe 27 Novemba mwaka huu.
Ponda anakabiliwa na tuhuma za uchochezi kwa  kuitisha mkutano mkoani Morogoro kinyume cha sheria.
Kujua mengi tembelea www.globaltvtz.com

Post a Comment

Previous Post Next Post