Stori: Gladness Mallya MSANII
wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda amemvaa mama wa msanii
mwenzake, Wema Sepetu, Miriam Sepetu na kumtaka aache kuingilia mapenzi
ya mwanaye kwani mapenzi hayaingiliwi.
Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda.
Akistorisha na gazeti hili, Isabela alisema
siku zote unaopenda ni moyo siyo mwili kwa hiyo mama Wema kama anataka
mwanaye aachane kabisa na Diamond basi amtoe moyo uliompa nafasi
mwanaume huyo.
Mama mzazi wa msanii maarufu bongo, Wema Sepetu.
إرسال تعليق