Katika
pita pita zake asubuhi hii,kamera za Malunde1 blog zimemnasa kijana
ambaye hakujulikana jina lake mara moja akiwa amevua nguo zote na kubaki
kama alivyozaliwa na kung'ang'ania kwenye daraja la Kidau(Ibinzamata)
mjini Shinyanga barabara ya Mwanza Shinyanga.Mashuhuda wanasema kijana
huyo kafika darajani leo asubuhi na kuanza kuvua nguo moja baada ya
nyingine huku wakisema kuwa huenda amepandisha majini,ama katumia madawa
ya kulevya yaliyomchanganya akili
Post a Comment