HomeKITAIFA Maandamano ya Kupinga Ukatili wa kijinsia kwa Afya ya jamii kuanza Muda mfupi ujao, Mgeni rasmi akiwa Mhe. Mizengo Pinda - ( @TunawezaZuia ) Hisia November 25, 2014 0 Maandamano ya Amani yanakaribia kuanza, yatahusisha watembea kwa miguu, bodaboda na bendi itatumbuiza Kauli Mbiu ya #Siku16 mwaka huu ni Funguka! Fichua ukatili wa kijinsia kwa Afya ya jamii. #16days - Picha Na Tunaweza
Post a Comment