Maandamano ya Kupinga Ukatili wa kijinsia kwa Afya ya jamii kuanza Muda mfupi ujao, Mgeni rasmi akiwa Mhe. Mizengo Pinda - ( @TunawezaZuia )

Embedded image permalinkMaandamano ya Amani yanakaribia kuanza, yatahusisha watembea kwa miguu, bodaboda na bendi itatumbuiza
Kauli Mbiu ya mwaka huu ni Funguka! Fichua ukatili wa kijinsia kwa Afya ya jamii.
- Picha Na Tunaweza

Post a Comment

أحدث أقدم