Baadhi ya viongozi wa jeshi wakiwa katika picha ya pamoja.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limefanya gwaride maalumu kwa ajili ya kuwaaga majenerali 12 wastaafu.
Sherehe hizo zimefanyika Kambi ya Twalipo Mgulani, Dar es Salaam, na kuongozwa na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, kuanzia saa mbili asubuhi katika kambia ya Twalipo Mgulani, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa jeshi wastaafu wakipozi katika mkao wa kung’aa.
Meja Jenerali Chalres Jitenga (kushoto) Meja Jenerali mstaafu Hassan Chema (katikati) na Luteni Jenerali, Charles Makakala.
Wanajeshi wakimsindikiza mmoja wa maofisa wa jeshi waliostaafu.
Wastaafu na viongozi wa juu wa jeshi wakiwa katika meza kuu.
إرسال تعليق