
Marekani
imepinga madai ya taifa hilo kwamba imebadili sera zake dhidi yaIran
kutokana na ripoti za magazeti na kuwa Rais Obama amekuwa na mawasiliano
ya siri na viongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei.
Jarida la
The Wall Street Journal lilitoa taarifa kwamba mwezi uliopita kuwa Rais
Obama alituma barua kwa Khamenei iliyobeba malengo ya pamoja katika
kupigana na kundi la wapiganaji wa kiislam la IS.
Rais
ObamaMsemaji wa Ikulu ya Marekani White House Josh Earnest
amepuuzakukanusha ama kukubali madai ya ripoti hiyo dhidi ya Marekani
kwamba sasa mlengo wake kwa Iran unalegezwa na muungano wa kuungana
pamoja kuwapiga kundi la IS.
Iran na mataifa mengine yenye nguvu Duniani ikiwemo Marekani yamekuwa yakijadiliana dhidi ya mpango wa Iran na Nyuklia.BBC (V.S)
Post a Comment