BAADHI ya masheha, madiwani, wenyeviti na askari
jamii wa Jimbo Mtambile wilaya ya Mkoani Pemba, wakimsikiliza mkuu mpya wa
wilaya hiyo hayupo pichani, Hemed Suleiman Abdalla, wakati akizungumza nao
kwenye mkutano maalumu ya kujitambulisha kwa wananchi tokea alipoteuliwa mwezi
septemba mwaka huu (picha na Haji Nassor, Pemba)
MKUU mpya wa wilaya Mkoani Pemba, Hemed Suleiman
Abdalla, akizungumza na masheha, madiwani, wenyeviti na askari jamii wa Jimbo
Mtambile wilayani humo, kwenye mkutano wake wa kujitambulisha kwa wananchi,
tokea alipoteuliwa mwezi septemba mwaka huu, katikati ni afisa tawala wa wilaya
hiyo, Abdalla Salim na kulia ni sheha wa shehia ya Mtambile (picha
na Haji Nassor, Pemba)
mzee Mohamed Seif Rajab wa Mjimbini akitoa
malalamiko yake kwa mkuu mpya wa wilaya ya Mkoani, wakati mkuu huyo wa wilaya
alipofanya ziara maalumu ya kukutana na wananchi ikiwa ni sehemu ya
kujitambulisha kwake tokea alipoteuliwa na mwezi septemba mwaka huu (picha
na Haji Nassor, Pemba)
Post a Comment