Mrisho Ngassa afunga NDOA kwa mara ya PILI, ushahidi huu hapa


ngassa na baba
Ingawa imekuwa ni nadra kuonekana pamoja, jana Khalfan Ngassa alijitokeza kwenye harusi ya mwanaye Mrisho Ngassa.
Ngassa mkubwa ambaye ni nyota wa zamani wa Pamba ya Mwanza na Simba, alijumuika kwenye ndoa ya mwanaye ambaye ni nyota wa Yanga na Taifa Stars.
Ngassa amefunga ndoa na Ladhia ambaye ni mpenzi wake wa zamani.
Shughuli hiyo ilifanyika katika eneo jijini Dar es Salaam, Jana ikiwa ni ndoa ya pili ya Ngassa.
Source: http://www.salehjembe.blogspot.com

Post a Comment

أحدث أقدم