Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi
Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu
huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu
wasifamika mjini kahama.
Askari polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu
kumtabua msichana huyo na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo
cha polisi .
Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo .
Baadhi ya wanachi wakimchukuwa binti huyo kwenda kwenye gari ya polisi na kupelekwa hospital ya wilaya ya kahama .
Hakiwa katika gari la polisi huku akiwa hana fahamu
Msichana akiwa hospital ya wilaya kahama daktali akijaribu kumkangua kama yuko hai .
Hivi ndivyo msichana alipochukuliwa kupelekwa hospital ya wilaya kahama kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya askari polisi wamtoa msichana ndani ya gari ya polisi baada ya kumfikisha hospital ya wilaya kahama
.
Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya alipinga marufuku
biashara ya ngono katika wilaya yake. kutokana wasichana wengi kufanya
biashara hiyo haramu .
Aidha wilaya kahama imekuwa ni sehemu kubwa kwa wasichana kuingia
katika biashara ya ukahaba jambo ambalo linafanya wasichana wengi
kubakwa na kutupwa katika mitalo ya maji au manyumba yasio kwisha .
Picha kwa hisani ya Mohab Mtukio
إرسال تعليق