NEWS ALERT:- JUMUIA YA DMV, USA YAFUNGIWA NA DCRA

Jumuia ya waTanzania Washington, D. C., Maryland na Virginia (DMV) imefungiwa na D. C. Department of Consumer and Regulatory Affairs (DCRA).  Hadi hivi sasa haijulikani ni sababu gani iliyo pelekea kufungiwa kwa jumuhiya hii. Wakiongea kwenye mtandao wa Viber baadhi ya wakazi wa DMV walijaribu kumuuliza maswali Ndg. Idd Sandaly juu ya ni kwanini Jumuia imefungiwa;Ndg. Sandaly alishindwa kutoa majibu.  Hadi hivi sasa si Ndg. Sandaly wala Bodi ya wadhamini aliye toa ufafanuzi juu ya kwa nini jumuhiya imefungiwa. Chini ni makaratasi kutoka DCRA yanayo onyesha kufungiwa kwa jumuhiya ya waTanzania DMV



Post a Comment

Previous Post Next Post